SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / TWEET YA SHAW BAADA YA KUVUNJIKA MGUU JANA

 
 
Mlinzi wa kushoto wa Manchester United Luke Shaw aliumia vibaya wakati wa mchezo wa klabu bingwa Ulaya wakati timu yake ikicheza dhidi ya PSV Eindhoven ya Uholanzi usiku wa jana.
Shaw alitolewa nje ya uwanja kwa machela ikiwa ni dakika ya 24 tu kipindi cha kwanza, na nafasi yake kuchukuliwa na Marcos Rojo.
Inaelezwa kuwa Shaw amevunjika mguu na anatarajiwa kufanyiwa upasuaji mara atakapotua jijini Manchester.
Shaw ameandika kwenye akaunti yake ya Twitter, akiwashukuru wale wote walomtumia ujumbe wa kumtakia kila la kheri na apone haraka kutokana na jeraha alililopta.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply