SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / MAFUFU: SIWEZI KUHAMA UKAWA

Nyota wa filamu Bongo, Jimmy Mafufu.
SHANI RAMADHANI
NYOTA wa filamu Bongo, Jimmy Mafufu amefunguka kuwa hawezi kuhama Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwa sababu kila upande wa siasa una changamoto zake.
Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, Mafufu alisema kutokana na namna siasa zinavyokwenda, mtu hatakiwi kuwa wa kuhamahama kila siku kwa ajili ya kitu fulani wakati kila sehemu kuna changamoto zake.
“Nilihama CCM na kuja Ukawa kwa sababu mambo mengi yanayohusiana na tasnia ya filamu yalikuwa hayatekelezeki ipasavyo, nimekuja huku naamini hata kama hatutapiga hatua leo, kesho ipo hivyo siwezi kuhama kwenda kwingineko,” alisema Mafufu.…

Nyota wa filamu Bongo, Jimmy Mafufu.
SHANI RAMADHANI
NYOTA wa filamu Bongo, Jimmy Mafufu amefunguka kuwa hawezi kuhama Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwa sababu kila upande wa siasa una changamoto zake.
Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, Mafufu alisema kutokana na namna siasa zinavyokwenda, mtu hatakiwi kuwa wa kuhamahama kila siku kwa ajili ya kitu fulani wakati kila sehemu kuna changamoto zake.
“Nilihama CCM na kuja Ukawa kwa sababu mambo mengi yanayohusiana na tasnia ya filamu yalikuwa hayatekelezeki ipasavyo, nimekuja huku naamini hata kama hatutapiga hatua leo, kesho ipo hivyo siwezi kuhama kwenda kwingineko,” alisema Mafufu.
JIUNGE NA GLOBAL BREAKING NEWS!

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply