Zitto Ameandika Haya Kwenye Ukurasa Wake wa Faceook Baada ya Taarifa za ushindi wake:
Manispaa ya kwanza kuwa chini ya chama cha ACT Wazalendo - Kigoma Ujiji Municipal Council
Kwa Heshima ya ndugu yangu Deo Haule Filikunjombe. Kwangu mimi baada ya
kifo cha ndugu yangu uchaguzi huu haukuwa na maana yeyote. Hata sijui
nitaingiaje bungeni bila Deo. Asante watu wa Kigoma kwa kumpa heshima
kubwa Deo wangu
Hakuna maoni :