SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / Kauli ya Kwanza Baada ya Zitto Kabwe Kuibuka Kidedea Ubunge Kupitia Chama cha ACT Wazalendo..Adai Hajui Ataingiaje Bungeni Bila Deo Filikunjombe



Zitto Ameandika Haya Kwenye Ukurasa Wake wa Faceook Baada ya Taarifa za ushindi wake:
Manispaa ya kwanza kuwa chini ya chama cha ACT Wazalendo - Kigoma Ujiji Municipal Council
Kwa Heshima ya ndugu yangu Deo Haule Filikunjombe. Kwangu mimi baada ya kifo cha ndugu yangu uchaguzi huu haukuwa na maana yeyote. Hata sijui nitaingiaje bungeni bila Deo. Asante watu wa Kigoma kwa kumpa heshima kubwa Deo wangu

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply