WAKATI
Vinara wa La Liga Real Madrid wako Nyumbani hapo Jumamosi, Barcelona
wao wako Ugenini wakikabiliwa na hatari ya kufungwa mara ya 3 mfululizo
Ugenini.Real inategemewa kuifunga Las Palmas lakini Barca, wakiwa bila ya Staa wao
Lionel
Messi ambae ni Majeruhi, wako Ugenini kucheza na Getafe huku wakiwania
kutofungwa Ugenini kwa mara ya 3 mfululizo tangu iwatokee Mwaka 2002.Real wao wanacheza na Las Palmas ambayo imeweza kushinda mara 1 tu katika Mechi zao 8 zilizopita.
Kileleni mwa La Liga wapo Real wenye Pointi 21 sawa na Barca lakini wao wana ubora wa Magoli wakati Atletico Madrid wapo Nafasi ya 3 wakiwa Pointi 2 nyuma.
LA LIGA
RATIBA
**Saa za Bongo
Ijumaa Oktoba 30
2230 Deportivo La Coruna v Atletico de Madrid
Jumamosi Oktoba 31
1800 Real Madrid CF v Las Palmas
2015 Valencia C.F v Levante
2015 Villarreal CF v Sevilla FC
2230 Getafe CF v FC Barcelona
Jumapili Novemba 1
0005 Real Sociedad v Celta de Vigo
1400 SD Eibar v Rayo Vallecano
1800 RCD Espanyol v Granada CF
2015 Sporting Gijon v Malaga CF
2230 Real Betis v Athletic de Bilbao

Hakuna maoni :