SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / LEWANDOWSKI, ROBBEN WOTE WAFUNGA BAYERN MUNICH IKIWEKA REKODI 'BABU KUBWA' BUNDESLIGA




Mshambuliaji wa kimataifa wa Poland, Robert Lewandowski akipiga kichwa mbele ya mabeki wa Cologne kuifungia Bayern Munich bao la tatu katika ushindi wa 4-0 jioni ya leo Uwanja wa Allianz Arena katika mchezo wa Bundesliga. Mabao mengine ya Bayern Munich yamefungwa na Arjen Robben, Arturo Vidal na Thomas Muller kwa penalti. Ushindi huo wa 1,000 kwa The Bavarians tangu kuanzishwa kwa Bundesliga, unaifanya Bayern iwe timu ya kwanza kushinda mechi 10 mfululizo za ligi hiyo kihistoria.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply