Mshambuliaji
wa kimataifa wa Poland, Robert Lewandowski akipiga kichwa mbele ya
mabeki wa Cologne kuifungia Bayern Munich bao la tatu katika ushindi wa
4-0 jioni ya leo Uwanja wa Allianz Arena katika mchezo wa Bundesliga.
Mabao mengine ya Bayern Munich yamefungwa na Arjen Robben, Arturo
Vidal na Thomas Muller kwa penalti. Ushindi huo wa 1,000 kwa The
Bavarians tangu kuanzishwa kwa Bundesliga, unaifanya Bayern iwe timu ya kwanza kushinda mechi 10 mfululizo za ligi hiyo kihistoria.
Home
/
MICHEZO
/
LEWANDOWSKI, ROBBEN WOTE WAFUNGA BAYERN MUNICH IKIWEKA REKODI 'BABU KUBWA' BUNDESLIGA
LEWANDOWSKI, ROBBEN WOTE WAFUNGA BAYERN MUNICH IKIWEKA REKODI 'BABU KUBWA' BUNDESLIGA
Tagged with: MICHEZO
Hakuna maoni :