SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / Lowassa Amjibu Katibu Mkuu wa CCM Kinana Akiwa Pemba Zanzibar



Napenda kunukuu neno kwa neno kadri nilivyosikia Mzee Lowassa akielekeza maneno yake kwa Mzee Kinana.

"Kuna mtu mmoja mwenye mamlaka kwenye Chama, tena Muislam, akaandika barua kwenye gazeti moja nchini MAREKANI, gazeti maarufu kidogo." Akasema 'LOWASSA ANAPENDA MAGAIDI NA ATAENDELEZA MAGAIDI, na AKICHAGULIWA kuwa RAIS ATALETA UGAIDI NCHINI'.

Lowassa anaendelea...Sasa nataka nirudie majibu yangu kwake na kwa waTanzania...nilisema 'NITAZINGATIA SHERIA KUCHUNGUZA KAMA WALE MA - SHEIKH WAMEONEWA na KAMA TARATIBU ZA KISHERIA ZILIFUATWA na KAMA HAZIJAFUATWA NITAWATOA NJE mara MOJA, sasa NAMRUHUSU HUYO ANAETAKA KUSHTAKI DUNIANI AKASHTAKI KOKOTE, angojee TU NIWE RAIS.

Anaendelea Lowassa...Nchi hii ina AMANI kwa sababu TUNAHESHIMIANA hakuna watu wenye HATIMILIKI wa nchi hii kwamba wanachosema wao ni sawa. Mimi nimesema jamani nitachunguza upungufu wa sheria na nitachukua hatua wala SIOGOPI NG'O. 


kamaliza MY TAKE:wiki kazaa zilizopita Mzee KINANA aliandika article katika blog ya The HILL tukasoma, Mzee LOWASSA nae kasoma kisha akakaa kimya lakini jana akiwa Pemba hayo ndio majibu yake! Aksante.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply