• Manchester City (4-2-3-1): Hart 7, Maffeo 6.5, Stones 7 (Adarabioyo 60, 6)...

  • SALVATORY EDWARD Kiungo wa zamani wa timu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kide...

  • Baada ya kikosi cha Mwadui FC kuchapwa kwa bao 1-0 katika mechi yao ya Lig...

  • Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeweka bayana kuwa, lipo kwenye mpango wa ...

SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / JE Umeshawahi Kufikiria Mchezaji MBWANA SAMATTA Analipwa Mshahara Kiasi Gani Kwa Mwezi? Jibu Lipo Hapa


Klabu ya KRC Genk anayocheza nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta inatajwa kuwa miongoni mwa vilabu tajiri ndani ya Ligi Kuu Ubelgiji, ila kwa mujibu wa www.xpats.com, wachezaji wengi wao Ubelgiji hulipwa kati ya euro 25000 hadi 50000 kwa mwezi.
EURO elfu ishirini na tano ni zaidi ya milioni sitini za Kitanzania kwa sasa wakati Euro elfu 50 ni zaidi ya milioni mia moja ishirini za Kitanzania.
Hivyo Samatta Mshahara wake unaanzia uero 25000 na kuendelea..

«
Next
SIR ALEX FERGUSON: ‘LEICESTER WANASTAHILI KUTWAA UBINGWA.
»
Previous
AZAM FC IKO TAYARI KWA AJILI PRISONS, YAITA MASHABIKI CHAMAZI.

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply