MCHEZAJI WA ZAMANI WA BARCA AIPAISHA STOKE UGENINI!
Penati ya Dakika ya 4 iliyofungwa na Mchezaji wa za mani wa Barcelona, Bojan Krkic, Jana iliwapa Stoke City ushindi wa Ugenini walipocheza na Swansea City katika Mechi pekee ya Ligi Kuu England.
Penati hiyo ilitolewa Dakika ya 3 baada ya Bojan kuchezewa faulo na Nahodha wa Swansea Ashley Williams.
Ushindi huo umeipandisha Stoke kushika Nafasi ya 11 na Swansea kuteremka hadi Nafasi ya 14 kwenye Ligi Kuu England.
VIKOSI:
Swansea: Fabianski; Rangel, Fernandez, Williams, Taylor; Cork, Shelvey; Barrow, Ayew, Montero; Gomis
Akiba: Nordfeldt, Naughton, Bartley, Britton, Sigurdsson, Ki, Eder.
Stoke: Butland; Johnson, Cameron, Wollscheid, Pieters; Whelan, Adam; Shaqiri, Bojan, Arnautovic; Joselu
Akiba: Haugaard, Muniesa, Ireland, Wilson, Affelay, Van Ginkel, Crouch.
REFA: Robert Madley.
LIGI KUU ENGLAND
RATIBA:
**Saa za Bongo
Jumamosi Oktoba 24
1700 Aston Villa v Swansea
1700 Leicester v Crystal Palace
1700 Norwich v West Brom
1700 Stoke v Watford
1700 West Ham v Chelsea
1930 Arsenal v Everton
Jumapili Oktoba 25
1500 Sunderland v Newcastle
1705 Bournemouth v Tottenham
1705 Man United v Man City
1915 Liverpool v Southampton
Tagged with: MICHEZO
Hakuna maoni :