SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / SARE YA 1-1, COASTAL VS MAJIMAJI YAZUA TAFRANI KUBWA MKWAMKWANI, WAAMUZI WAPIGWA MAWE, MABOMU YA MACHOZI YAPIGWA



Penalti iliyofungwa na Raphael Alpha imezua tafrani kubwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga wakati wa mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara.


Kiungo huyo wa Mbeya City alifunga penalty hiyo ya dakika ya 90 baada ya Coastal Union kuongoza kwa muda wote.

Hali hiyo ilifanya mashabiki wa Coastal Union kufanya vurugu kubwa ikiwa ni pamoja na kuharibu ubao wa kubadilishia wachezaji, pia ripoti za mwamuzi wa akiba.
 
Polisi walilazimika kuingiza gari katikati ya uwanja na kupambana na mashabiki hao kwa kupiga mabomu ya machozi.

Mashabiki hao waliendelea kurusha mawe wakiwapiga waamuzi ambao walipewa ngao ya Polisi kujilinda wakiwa katika gari la Polisi.















«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply