SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / SIMBA YARUDI MTAMBONI, YAICHAPA MAJIMAJI BAO 6-1 AJIBU AKIPIGA HAT TRICK, KIIZA ATUMBUKIA MARA MBILI



Simba imeamka, Leo imeibuka na ushindi wa mabao 6-1 dhidi ya Majimaji ya Songea katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Hadi mapumziko, Simba walikuwa wanaongoza kwa mabao 4-0 dhidi ya Majimaji ya Songea.
Kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu amefunga mabao matatu 'hat trick' huku mshambuliaji Hamisi Kiiza akifunga moja.
Ajibu ameifungia Simba mabao matatu huku Kiiza akifunga mengine mawili katika dakika za 24 na 80. Pia beki Mohammed Hussein akafunga lake katika dakika ya 78.

Majimaji walionekana hata kipindi cha pili licha ya kuanza kwa kasi, baadaye mambo yalibadilika na wenyewe kuonekana kama wameishakubali matokeo.
Bao la kufutia machozi la Majimaji lilifungwa na Ditram Nchimbi katika dakika ya 88.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply