SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / STAND UNITED YAWACHAPA 1-0 MBEYA CITY, PRISONS YAIPIGA 3-0 KAGERA, TOTO YANG’ARA




MECHI ZIJAZO LIGI KUU YA VODACOM TZ BARA Leo; Okroba 4, 2015 Toto Africans 1-0 JKT Ruvu Stand United 1-0 Mbeya City Kagera Sugar 0-3 Prisons Oktoba 3, 2015 Mgambo Shooting 0-0 Coastal  Majimaji FC 0-1 Mwadui FC MECHI ZIJAZO…   Oktoba 17, 2015 Yang a SC Vs Azam Fc Majimaji FC Vs African Sports Mbeya City Vs Simba Sc Sokoine Ndanda FC Vs Toto Africans Stand United Vs Prisons Coastal Union Vs Mtibwa Sugar Mgambo Shooting Vs Kagera Sugar  Mwadui FC Vs JKT Ruvu
Elias Maguri ameendelea kuifungia mabao Stand United



TIMU ya Mbeya City imeendelea kusuasua katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya lao kuchapwa bao 1-0 na Stand United Uwanja wa Kambarage, SHinyanga.
  Shukrani kwake, mfungaji wa bao hilo pekee Elias Maguri dakika ya 47 katika mchezo huo uliokuwa mkali na wa kusisimua. JKT Ruvu nayo imeendelea kusuasua baada ya kuchapwa 1-0 na Toto Africans Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza bao pekee la Edward Chiristopher dakika ya 76.
  Kagera Sugar nayo imeendelea kuboronga pia, baada ya kuchapwa 3-0 na Prisons Uwanja wa A.H. Mwinyi, Tabora mabao ya Jeremiah Juma mawili na Ally Manzi moja.
  Mechi za jana, bao pekee la Fabian Gwanse liliipa ushindi wa ugenini wa 1-0 Mwadui FC ya Shinyanga dhidi ya Majimaji Uwanja wa Majimaji, Songea jioni ya leo, wakari Mgambo Shooting ilitoa sare ya bila kufungana Coastal Union Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply