• Manchester City (4-2-3-1): Hart 7, Maffeo 6.5, Stones 7 (Adarabioyo 60, 6)...

  • SALVATORY EDWARD Kiungo wa zamani wa timu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kide...

  • Baada ya kikosi cha Mwadui FC kuchapwa kwa bao 1-0 katika mechi yao ya Lig...

  • Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeweka bayana kuwa, lipo kwenye mpango wa ...

SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / Uzushi Kuwa Irene Uwoya Amefariki Wasababisha Usumbufu Mkubwa Kwenye Familia



Taarifa za uzushi zilizoandikwa jana kwenye Facebook kuwa muigizaji wa filamu, Irene Uwoya amefariki, zinadaiwa kusababisha usumbufu mkubwa kwenye familia yake.

Uzushi huo umekanushwa na kulaaniwa vikali na muigizaji mwenzake, Jacob Stephen aka JB.

“Ndugu zangu jana kupitia akaunti feki ya facebook kuna mtu alitoa picha yangu nikilia na kusema Irene Uwoya amefariki,” ameandika JB kwenye Instagram.

“Habari hii ya uongo ilileta shida kubwa katika familia yake na watu wa karibu. Leo tena asubuhi mwingine kasema nimepata ajali nakusababisha tafrani kubwa,” aliongeza.

“Napenda kuwaambia mashabiki wetu kuwa habari hizo ni za uongo. Tuko fiti kwa damu ya Yesu na tunavunja roho hizo za kunenea watu mabaya ktk jina la Yesu..amen.”

«
Next
PAMOJA NA USHINDI, KIWANGO CHA SIMBA CHAMKWAZA DYLAN KERR
»
Previous
Zitto Kabwe Achukizwa na Yaliyotokea Zanzibar ya Kufuta Uchaguzi..Atoa Kauli Kali..

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply