SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / ANGALIA MAZOEZI YA JANA YA TAIFA STARS YALIVYOKUWA JIJINI JOHANNESBURG JANA


Mwandishi Wetu, Afrika Kusini
Kikosi cha Taifa Stars kiliendelea na mazoezi yake jana na leo pia kitafanya mara mbili kwa siku chini ya Kocha Charles Boniface Mkwasa.

Stars inafanya mazoezi katika eneo la Woodmid jijini Johannesburg, Afrika Kusini kujiandaa na mechi yake dhidi ya Algeria, Novemba 14.
Mkwasa amesema mazoezi yataendelea leo na wamekuwa wakifanya mazoezi makali ili kuhakikisha wako vizuri.
Angalia picha za mazoezi ya jana jioni  yalivyokuwa.











«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply