Leo
ndiyo ile kazi ya mwisho wakati taifa Stars inaivaa Algeria katika
mechi ya pili kuwania kuingia kwenye makundi ya kucheza Kombe la Dunia.
Iwapo
Stars itashinda au kupata sare ya 3-3, basi inasonga mbele. Jana
ilifanya mazoezi yake ya mwisho kabla ya leo kuingia mtaani
kutembeatembea.
Cheki mazoezi yalivyokuwa>





Hakuna maoni :