SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / SASA UHAKIKA, ALGERIA VS TANZANIA ITAONYESHWA AZAM TV

Watanzania watapata nafasi ya kuishuhudia Taifa Stars ikipambana ugenini kupitia king’amuzi cha Azam TV.


Uhakika wa taarifa kwamba mechi hiyo itaonekana zimeelezwa kutoka ndani ya Azam TV.

“Kweli tuna taarifa hapa kuwa mechi hiyo itaonyeshwa, ila baada ya muda tutakuwa tumejua ni kwenye chaneli ipi,” kilieleza chanzo.

“Suala la kuoyeshwa kwa mechi sasa ni uhakika kabisa, kama mtu hajalipia king’amuzi, mwambie alipie maana sasa ni uhakika.”


King’amuzi cha Azam TV sasa kimekuwa tegemeo la Watanzania wengi kutokana na kukidhi kiu katika masuala mbalimbali kama michezo, burudani na kijamii.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply