SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / ANGALIA VIDEO SAMATTA ALIVYOIFUNGIA BAO LA USHINDI MAZEMBE DHIDI WA WAALGERIA



Beki wa USM Alger akimuangusha mshambuliaji Mtanzania wa TP Mazembe katika fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika usiku wa jana Uwanja wa Omar Hamadi de Bologhine mjini Algiers. Pigo hilo lilisababisha penalti na Samatta akaifungia bao la pili Mazembe ikishinda 2-1. Angalia video chini.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply