Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo ameuawa leo mjini
Katoro baada ya kushambuliwa kwa mapanga na shoka na kumjeruhi vibaya
sehemu mbalimali za mwili wake hasa kichwani wakati akifanya kampeni za
kumnadi diwani wake
Mawazo aliyewahi pia kuwa Diwani wa Kata ya Sombetini Arusha amefariki
dunia akiwa hospitalini alipokimbizwa katika jitihada za kujaribu kuokoa
maisha yake. Mganga Mkuu Geita amethibitisha.
Home
/
MATUKIO
/
Breaking News: Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoani GEITA Auawa Kinyama Kwa Kukatwa na Mapanga na Shoka Wakati Akifanya Kampeni za Kumnadi Diwani Wake
Breaking News: Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoani GEITA Auawa Kinyama Kwa Kukatwa na Mapanga na Shoka Wakati Akifanya Kampeni za Kumnadi Diwani Wake
Tagged with: MATUKIO

Hakuna maoni :