Si wakati wa kuonyesha tofauti zetu za kiitikadi, ni wakati wa kuona
lipi ni sahihi na lipi si sahihi. Kama Mtanzania ninapoona Mtanzania
mwenzangu amekatishwa maisha yake kwa mtindo wa kinyama namna ile
ninaumia. Wahusika wa tukio hili hawana budi kuchukuliwa hatua bila
kujali walitenda hili kwa lengo gani. Sheria ionyeshe kua yenyewe ni
msumeno na kweli ukata huku na huku. Kuna mambo tukiyafungia macho
matokeo yake yatakuja kutuathiri baadae.
By Glory Tausi
Home
/
SIASA
/
Hili la Mwenyekiti wa Chadema Geita Kuuawa Kinyama Namna ile Kisa Uchaguzi wa Kata.. Linauma Sana....Je na Lenyewe Litapita Hivi Hivi?
Hili la Mwenyekiti wa Chadema Geita Kuuawa Kinyama Namna ile Kisa Uchaguzi wa Kata.. Linauma Sana....Je na Lenyewe Litapita Hivi Hivi?
Tagged with: SIASA

Hakuna maoni :