Home
/
MAONI
/
INGEPENDEZA SANA KAMA VIONGOZI WETU WANGETIMIZA KIAPO WANACHOKIFANYA TENA KWA KUTUMIA VITABU VYA DINI MBALIMBALI
INGEPENDEZA SANA KAMA VIONGOZI WETU WANGETIMIZA KIAPO WANACHOKIFANYA TENA KWA KUTUMIA VITABU VYA DINI MBALIMBALI
Ni viongozi wachache sana hapa barani Afrika wanaojua maana ya kiapo wanachokiapa pale tu wanapokabidhiwa madaraka na wananchi waoo hasa kupitia kura. Limekua ni jambo la kushangaza kuona viongozi wengi wanashika vitabu vya dini mbalimbali kuapa lakini matendo yao yanakua tofauti na kiapo wanachoapa . Kiongozi anapokiuka kiapo ni sawa na amemkejeli Mungu pamoja na wale anaowatumikia basi si sahihi kwa viongozi kuapa kutumia vitabu hivyo wakati mwisho wa siku wanaishia kuwawanyanyasa wananchi kwa kutumia madaraka vibaya. Ni maoni yangu tu
Baltazary Arbogasti
Tagged with: MAONI

Hakuna maoni :