UEFA CHAMPIONZ LIGI
RATIBA
**Mechi zote kuanza Saa 4 Dak 45 Usiku, isipokuwa inapotajwa
Jumanne Novemba 24
KUNDI E
2000 BATE Borislov v Bayer Leverkusen
Barcelona v AS Roma
KUNDI F
Arsenal v Dinamo Zagreb
Bayern Munich v Olympiakos
KUNDI G
FC Porto v Dynamo Kiev
Maccabi Tel Aviv v Chelsea
KUNDI H
2000 Zenit Saint Petersburg v Valencia
Lyon v KAA Gent
Jumatano Novemba 25
KUNDI A
Malmö FF v Paris St Germaine
Shakhtar Donetsk v Real Madrid
KUNDI B
2000 CSKA v VfL Wolfsburg
Man United v PSV Eindhoven
KUNDI C
1800 FC Astana v Benfica
Atletico Madrid v Galatasaray
KUNDI D
Borussia Mönchengladbach v Sevilla
Juventus v Man City
WAKATI
Zenit Saint Petersburg, Real Madrid na Man City tayari zimefuzu kuingia
Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya UEFA CHAMPIONZ LIGI, UCL, huku wakiwa na
Mechi 2 mkononi, Manchester United, Barcelona, Bayern Munich na FC
Porto zinanyemelea kuungana nao.
Jumatano
Man United wako kwao Old Trafford kucheza na Mabingwa wa Holland PSV
Eindhoven katika Mechi ya Kundi B la UCL na ushindi kwao utawahakikishia
kutinga Raundi ya Mtoano wakiwa na Mechi 1 mkononi.
Lakini
PSV si vibonde hasa baada ya kuifunga Man United 2-1 katika Mechi yao
ya kwanza huko Amsterdam Mechi ambayo pia itakumbukwa kwa kuumizwa
vibaya Mchezaji wa Man United Luke Shaw alipovunjwa Mguu mara 2 na
Moreno.
Akiongelea
kuhusu Mechi hii na PSV, Meneja wa Man United, Louis van Gaal, amesema:
“Siku zote lazima ushinde Mechi zako za Nyumbani. Tukiwafunga PSV
tumefuzu!”
Man
United ndio Vinara wa Kundi B wakiwa na Pointi 7 kwa Mechi 4
wakifuatiwa na PSV Eindhoven na Wolfsburg wenye Pointi 6 kila mmoja na
mkiani yuko CSKA Moscow mwenye Pointi 4.
Mechi nyingine ya Kundi B hiyo Jumatano ni huko Germany ambako Wolfsburg watacheza na CSKA Moscow.
Washindi
wawili wa juu wa kila Kundi watatinga Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya
UEFA CHAMPIONZ LIGI, UCL, huku Mshindi wa 3 akipelekwa kucheza EUROPA
LIGI.

UEFA CHAMPIONZ LIGI
RATIBA
**Mechi zote kuanza Saa 4 Dak 45 Usiku, isipokuwa inapotajwa
Jumanne Desemba 8
KUNDI A
Paris St Germain v Shakhtar Donetsk
Real Madrid v Malmö FF
KUNDI B
PSV v CSKA
VfL Wolfsburg v Man United
KUNDI C
Benfica v Atletico Madrid
Galatasaray v FC Astana
KUNDI D
Man City v Borussia Mönchengladbach
Sevilla v Juventus
Jumatano Desemba 9
KUNDI E
Bayer Leverkusen v Barcelona
Roma v BATE Borislov
KUNDI F
Dinamo Zagreb v Bayern Munich
Olympiakos v Arsenal
KUNDI G
Chelsea v FC Porto
Dynamo Kiev v Maccabi Tel Aviv
KUNDI H
KAA Gent v Zenit Saint Petersburg
Valencia v Lyon
TAREHE MUHIMU:
-Ratiba Mechi za Makundi:
Mechidei 1: 15/16 Septemba
Mechidei 2: 29/30 Septemba
Mechidei 3: 20/21 Oktoba
Mechidei 4: 3/4 Novemba
Mechidei 5: 24/25 Novemba
Mechidei 6: 8/9 Decemba
Raundi za Mtoano:
-Droo ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16: Desemba 14
**Mechi Februari 16/17/23/24 na Marudiano Machi 8/9/15/16
-Droo ya Robo Fainali: Machi 18
**Mechi Aprili 5/6 na Marudiano Aprili 12/13
-Droo ya Nusu Fainali: Aprili 15
**Mechi Aprili 26/27 na Marudiano Mei 3/4
FAINALI
Mei 28
San Siro, Milan, Italy

Hakuna maoni :