Irene Uwoya amerudi rasmi katika filamu baada ya kumaliza pilika pilika
za uchaguzi ambapo ametangaza deal kwa vijana wapya katika filamu.
Kupitia ukurasa wa Instagram, Irene ameandika:
Habari zenu wapendwa!kuna movie mpya naaandaa…tunahitaji wasanii wapya
wakike na wakiume…ambao hawajawah kuigiza!kunamaswali tutauliza ukipita
utaitwa kwajili ya form na mahojiano zaidi…..swali la kwanza!ntajie
wasaniii watatu wanao kuvutia na kwanin?
Tagged with: BURUDANI


Hakuna maoni :