SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / KERR AENDELEA KUIFUA SIMBA, MRUNDI AONGOZA KWA MWENDO KASI


NIMUBONA (KULIA) AKIWA MBELE AKIONGOZA KATIKA MAZOEZI YA KUKIMBIA KWA KASI MAARUFU KAMA SHORT SPRINT.
Kocha Mkuu wa Simba, Dylan Kerr ameendelea kukifua kikosi chake ufukweni.

Mazoezi yamekuwa yakiendelea kwenye ufukwe wa Kunduchi karibu na hoteli ya Beach Comber ya jijini dar es Salaam.
Katika mazoezi hayo, beki Mrundi Emily Nimubona amereja mazoezini na kuonyesha ni hatari katika mazoezi ya kasi.
Wakati wakikimbia, mara zote, Nimubona alikuwa akishika nafasi ya kwanza kwa kutimua mbio.
Licha ya kuwa na wachezaji wachache, Kerr amekuwa akiendelea kukifua kikosi chake kwa mazoezi makali.
Mara nyingi wamekuwa wakikimbia, kupiga push up pamoja na mazoezi ya kukimbia kasi kwa eneo fupi.
Wachezaji kadhaa wa Simba, bado hawajarejea kwa kuwa walikuwa katika kambi za timu za taifa za Tanzania na Uganda.



«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply