SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / RAIS MAGUFULI AMTEUA MDAU WA MICHEZO, SIMBA DAMU KUWA WAZIRI MKUU MPYA

MAJALIWA (KUSHOTO) AKIWA NA ZITTO KABWE

Rais John Pombe Magufuli amemteua Kassim Majaliwa ambaye ni Mbunge wa Ruangwa kuwa waziri mkuu mpya wa Tanzania.

Majaliwa ni mwanamichezo hasa, kwani ni mmoja wa wachezaji wa timu ya Bunge la Tanzania pamoja na wachezaji wabunge wa kikosi cha Simba.

Kwa mhula uliopita wa miaka mitano, Majaliwa alikuwa Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu.


Majaliwa ambaye ni ‘mnyama’ kiitikadi za soka, pia ana taalum ya ukocha na kama akiamua anaweza kuwa Kocha wa timu yoyote ya Ligi Kuu Bara kwa kuwa ana Leseni B ya Caf.

Hata hivyo analazimika kusubiri wabunge wampigie kura ya kumpitisha na kazi hiyo inafanyika sasa hivi bungeni mjini Dodoma.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply