SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / KERR AMTUMIA MATOLA SALAMU ZA PONGEZI KWA KUPATA AJIRA MPYA


MATOLA

Licha ya Selemani Matola kuondoka ndani ya kikosi cha Simba  siku za hivi karibuni, kocha mkuu wa timu hiy, Dylan Kerr amempongeza kwa kupata timu nyingine.


Matola alibwaga manyanga ndani ya kikosi hicho baada ya kudai kuwa wamekuwa hawaelewani na Kerr, kwa sasa ni kocha mkuu wa Geita Gold Sport ya Ligi Daraja la Kwanza.

KERR, MATOLA NA IDDI SALIM.


 Kerr alisema: “Nilikuwa sifahamu kama amefanikiwa kupata timu nnyingine, ndiyo mnaniambia sasa lakini siyo kitu kibaya na mpongeza ni jambo zuri ingawa mimi na yeye hatujawahi kuwasiliana hata siku moja tangu aondoke hapa klabuni."

Matola ambaye ni nahodha wa zamani wa Simba, aliondoka Simba akidai Kerr alikuwa hasikilizi ushauri wake au kumpa ushirikiano wa kutosha.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply