SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / LIGI KUU ENGLAND: DEFOE AIPA POINTI 3 SUNDERLAND UGENINI!

SUNDERLAND-DEFOESunderland wamepata ushindi wao wa kwanza wa Ugenini kwenye Ligi Kuu England baada ya Jana Usiku kuifunga Crystal Palace 1-0 huko Selhurst Pak Jijini London.

Bao la ushindi la Sunderland, ambao wako chini ya Meneja maarufu Sam Allardyce aka ‘BigBPL-TEBO-NOV25 Sam’, lilifungwa Dakika ya 80 na Jermain Defoe aliempora Mpira Scott Dann na kumalizia vizuri.

Ushindi huu umewaweka Sunderland Nafasi ya 18 wakiwa na Pointi 9 kwa Mechi 13 wakati Palace wanabaki Nafasi ya 10 wakiwa na Pointi 19.

VIKOSI:
Crystal Palace: Hennessey; Ward, Dann, Delaney, Souare, McArthur, Cabaye, Zaha, Puncheon, Bolasie, Wickham
Akiba: Speroni, Kelly, Ledley, Jedinak, Sako, Chamakh, Bamford.

Sunderland: Pantilimon, Jones, Van Aanholt, Cattermole, Larsson, Kaboul, O’Shea, Defoe, M’Vila, Coates, Fletcher
Akiba: Johnson, Lens, Graham, Toivonen, Yedlin, Mannone, Watmore.
REFA: Martin Atkinson
RATIBA:
**Saa za Bongo
Jumamosi Novemba 28
1800 Aston Villa v Watford             
1800 Bournemouth v Everton         
1800 Crystal Palace v Newcastle             
1800 Man City v Southampton                 
1800 Sunderland v Stoke                
2030 Leicester v Man United               
Jumapili Novemba 29
1500 Tottenham v Chelsea             
1705 West Ham v West Brom         
1915 Liverpool v Swansea              
1915 Norwich v Arsenal

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply