SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / LUKA MODRIC AKIRI, MADRID HAIKUCHEZA KITIMU, WACHEZAJI WALIKUWA HOVYOOOOOO


Kiungo nyota wa Real Madrid, Luka Modric amekiri kuwa kikosi chao kilicheza hovyo kupita kiasi katika mechi ya Al Clasico.


Katika mechi hiyo, licha ya Real Madrid kuwa nyumbani, ilikumbana na kipigo cha mabao 4-0 kutoka kwa wapinzani wake hao wakubwa.

Modric amesema ilikuwa ni siku mbaya kwao kwa kuwa Madrid ilishindwa kuonyesha uwezo kama timu.

“Pia ikashindikana kuonyesha kiwango angalau cha mchezaji mmoja mmoja. Ilikuwa ni siku mbaya kuliko zote katika msimu huu,” alisema Modric.


Barcelona walitawala kipindi cha kwanza, wakafanya hivyo katika kipindi cha pili na walikuwa an uwezo wa kushinda mabao hata saba.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply