KOCHA WA MANCHESTER CITY |
Klabu ya Manchester City itacheza bila wachezaji wake sita muhimu itakapokutana na Juventus.
City
ambao wamefuzu katika makundi ya timu 16,itamkosa beki Eliaquim
Mangala,Pablo Zabaleta na Vincent Kompany,viungo wa kati Samir
Nasri,David Silva na mshambuliaji Wilfried Bony.''Tuna hali ngumu'', alisema meneja Manuel Pellegrini.''Ni mtihani wa kushinda katika uwanja wa timu ngumu''.
City inaiongoza Juventus kwa pointi moja kileleni mwa kundi Da na itathibitisha uwezo wake kama mshindi wa kundi hilo.
KIKOS CHA MANCHESTER CITY |
Kwa hivyo ni muhimu kwetu kupata mafanikio miongoni mwao ikiwa kufuzu katika makundi ya timu 16.
Hakuna maoni :