Timu ya taifa haiwezi kutengenezwa kwa midomo ya wanasoka
bali ni matendo ya wanasoka. Shirikisho la soka Tanzania TFF linatakiwa liijue
mbinu zinazotakiwa ili kuweza kuinua vipaji kwa ajili ya timu yetu ya Taifa.
Haaiwezekani hata kidogo kuiweka timu ya taifa kambini kwa muda mfupi tukiwa na
mawazo ya kuiondosha michuanoni timu iliyoyotikisa katika kombe la dunia msimu
uliopita. Tunapaswa kuweka mipango endelevu ya soka na si mipango ya mwezi au
wiki na kujiwekea matumaini hewa.
Ni maoni yangu tu
BALTAZARY AROBOGASTI
Hakuna maoni :