Kikosi cha Uganda kimekuwa kikosi cha kwanza kufuzu katika hatua
ya makundi kuwania kucheza Kombe la Dunia kwa ukanda wa Afrika Mashariki.
Uganda maarufu kama The Cranes wameitwanga Togo kwa mabao 3-0
kwenye Uwanja wa Mandela jijini Uganda, leo.
Hivyo kufanya isonge kwenye makundi kwa jumla ya mabao 4-0 kwa
kuwa ikiwa ugenini mjini Lome ilishinda kwa bao 1-0.


Hakuna maoni :