SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / UHURU SELEMANI SASA AGEUKA KIVUTIO KWA 'WAKUBWA' SAUZ



Kiungo mshambuliaji wa Royal Eagles ya Afrika Kusini, Uhuru Selemani sasa amegeuka lulu nchini Afrika Kusini.


Uhuru amekuwa lulu baada ya baadhi ya klabu za Ligi Kuu Afrika Kusini ikiwemo Mamelodi Sundown kuendelea kumfuatilia.

Mmoja wa mtandao wa Afrika Kusini, umesema kwamba Uhuru ambaye anatumia jina la Mwambungu, amekuwa kivutio cha timu kubwa.

Kichwa cha habari cha taarifa hiyo kimeeleza hivi; “Mwambugu now is a target for big fish”, yaani Mwambungu sasa anatupiwa macho na timu kubwa.

Tayari Uhuru aliyewahi kuzichezea Simba, Coastal Union, Mtibwa Sugar na Mwadui FC ameshaanza kuonyesha uwezo wa kufunga akiwa na Royal Eagles inayoshiriki darala la kwanza.


Kiungo huyo Mtanzania anaichezea Royal Eagles akitokea Jomo Cosmos.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply