• Manchester City (4-2-3-1): Hart 7, Maffeo 6.5, Stones 7 (Adarabioyo 60, 6)...

  • SALVATORY EDWARD Kiungo wa zamani wa timu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kide...

  • Baada ya kikosi cha Mwadui FC kuchapwa kwa bao 1-0 katika mechi yao ya Lig...

  • Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeweka bayana kuwa, lipo kwenye mpango wa ...

SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / Davido Aikana ‘Mimba’ ya Masogange, Aeleza Kwa Urefu

Davido amelazimika kuandika maelezo marefu kwenye Twitter kukanusha kuwa ndiye aliyempa ujauzito Agnes Masogange (japo hatujathibitisha iwapo ni kweli mrembo huyo huyo ana mimba).
12356375_1643542822563037_1171860322_n
Staa huyo wa Nigeria amedai kuwa boyfriend wa Masogange amekuwa akimpigia simu kwa fujo kulalamikia tetesi hizo kuwa huenda akawa analea mimba isiyo yake.
“Sijali kuhusu kile blog zinaandika, ukweli au uongo lakini pindi mtu anaponipigia simu kila muda kutoka nchi nyingine akilia kuhusu mchumba wake kuona habari za uongo na anataka kuondoka na kumwacha [Agnes] katika shida,” ameandika.
“Haya ni maisha ya watu mnacheza nayo, hadi pale kitu kibaya kitakapotokea kila mmoja ataanza kujisikia kuharibu. Tafadhali acheni, sio sawa kwa Agnes na mpenzi wake, waacheni waashi na wapate mtoto wao kwa amani,” alisisitiza.
Davido ni mmoja kati ya mastaa wanaodawa kumfaidi mrembo huyo.

«
Next
HUU NI UTANI WA NGUMI KWA CHELSEA.  
»
Previous
Kunani Kati ya Ben Pol na Alikiba? Tweets Hizi Zazusha Utata Mkubwa!

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply