• Manchester City (4-2-3-1): Hart 7, Maffeo 6.5, Stones 7 (Adarabioyo 60, 6)...

  • SALVATORY EDWARD Kiungo wa zamani wa timu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kide...

  • Baada ya kikosi cha Mwadui FC kuchapwa kwa bao 1-0 katika mechi yao ya Lig...

  • Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeweka bayana kuwa, lipo kwenye mpango wa ...

SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / Kunani Kati ya Ben Pol na Alikiba? Tweets Hizi Zazusha Utata Mkubwa!

Kuna tatizo kati ya Ben Pol na Alikiba?
Kiba
Au Ben ameamua kutoa mtazamo wake wa moyoni juu ya hitmaker huyo wa Chekecha? Maswali ni mengi lakini ukweli ni kwamba tweet ya Ben kwa Kiba ina utata mkubwa.
“Bro @OfficialAliKiba mi naona kama unakuwa overrated halafu inakugharimu.. au Haikugharimu?” ameandika Ben Pol.

Well, neno ‘overrated’ ndio kiini cha ujumbe wa Ben Pizze ambalo wabongo wengi wamelitafsiri kivyao!
Kwa mujibu wa kamusi Cambridge ‘Overrate’ ni: If something or someone is overrated, that person or thing is considered to be better or more important than they really are.”
Tafsiri yake ni kuwa: Kama kitu au mtu akiwa overrated, kitu hicho au mtu huyo anafikiriwa ni bora au wa muhimu zaidi kuliko walivyo. Kwa maana nyingine ni kuwa mtu akiwa overrated ni kuwa anakuzwa wakati hana lolote!
Kwanini Ben Pol amesema hivyo? Tunafanya jitihada za kumpata afafanue lakini Alikiba amemjibu.
“InshaALLAH Kheri @IamBenPol Asante kwa kunyoosha Kidole sio makosa yako Ni dua inafanya kazi yake #KingKiba.”

«
Next
Davido Aikana ‘Mimba’ ya Masogange, Aeleza Kwa Urefu
»
Previous
Je, Huu Sio Uvunjaji wa Haki Za Msingi za Binaadamu Unaofanywa na Serikali ya Magufuli?

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply