CAHILL AKIPONGEZWA NA MKURUGENZI WA UFUNDI WA CHELSEA, MICHAEL EMENALO. |
Beki wa kati Gary
Cahill amesaini miaka mingine minne kuitumikia Chelsea.
Sasa Cahill
atabaki Stamford Bridge hadi mwaka 2019 baada ya mkataba wake huo mpya.
Beki huyo pia
anayekipiga timu ya taifa England, chini ya Kocha Jose Mourinho anayeonekana
kumuamini sana, ameishatumia Chelsea mechi 18 chini ya kocha huyo msimu huu.
Hakuna maoni :