Kushoto
ni aliyekuwa mgombea ubunge Jimbo la Kahama Mjini James Lembeli
(Chadema) akiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
CHADEMA wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga Juma Protas wakitoka katika
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Shinyanga leo asubuhi baada ya
kushinda maombi yao ya kuomba kupunguziwa gharama za kesi ya kupinga
matokeo ya Uchaguzi uliompa ushindi Mbunge wa Jimbo la Kahama
Mjini,Jumanne Kishimba ambapo Lembeli alipaswa kulipa shilingi milioni
15 na badala yake Mahakama imemtaka kulipa Shilingi milioni 9 ndipo kesi
ya msingi ianze kusikilizwa
Tagged with: SIASA
Hakuna maoni :