"Mhe Magufuli hayo unayo yafanya ndio watanzania tumekuwa tukiyapigia
kelele miaka yote na tukaonekana wabaya. Tuko sambamba na wewe
tunakuunga mkono safisha nchi.. usilegeze upanga wako wala usijali
vitisho vyao. Tunakuombea ushujaa zaidi na roho ya Mungu iwe nawe"
Sehemu ya mahuburi yake leo Jumapili kanisani kwakeA
Hakuna maoni :