SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / MDAU MWAMBENE ATUA STAMFORD BRIDGE KUISHUHUDIA CHELSEA YA MOURINHO IKIPAMBANA DHIDI YA BOURNEMOUTH


Mdau Rodrick Mwambene ametua kwenye Uwanja wa Stamford Bridge maarufu kama darajani jijini London kuishuhudia timu anayoishabikia ya Chelsea ikipambana na Bournemouth.


Mwambene ambaye ni Chelsea wa kugaragara, yumo ndani ya uwanja huo kushuhudia mechi hiyo sasa hivi.

“Ndiyo niko hapa, najaribu kutupa dua zangu maana mwenendo wetu (Chelsea) si mzuri msimu huu. Ningependa angalau tushinde leo nikiwa hapa,” alisema Mwambene kutoka London.
Hadi mapumziko, mechi hiyo ilikuwa 0-0, sasa hatujui kama Chelsea itafanikiwa kupoza machungu ya Rodrick Mwambene au itamzidishia.







«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply