SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / TASWIRA MBILI ZA KIONGERA ALIVYOANZA KUJIFUA NA KIKOSI CHA SIMBA MJINI ZANZIBAR



Blogu hii ilikuwa ya kwanza jana kukuandikia mshambuliaji Paul Kiongera amejiunga tena na Simba iliyoko mjini Zanzibar kwa ajili ya kambi.


Tayari mshambuliaji huyo Mkenya, ameanza rasmi mazoezi pamoja na wenzake kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar.

Kiongera amerejea Simba baada ya kucheza KCB ya Kenya mkopo, Simba ilimpeleka huko baada ya kuwa ameumia na kuanza matibabu nchini India ambayo yaligharimiwa na klabu hiyo kutoka eneo la Kariakoo.

Sasa Kiongera amerejea ili kuongeza nguvu katika safu ya ushambuliaji ambayo imeonekana kusuasua.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply