SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / Namba za Simu za Kuripoti Kero TRA na taarifa za siri za Watumishi Wabadhirifu


Dk Mpango ametaja namba za simu na kuomba wananchi waripoti taarifa zinazohusu watumishi wa ofisi ya Mamlaka na Mapato Tanzania (TRA), wanaojilimbikizia mali kinyume na kanuni za utumishi wa umma.

Pia ameomba namba hizo zitumike kutoa taarifa kuhusu kero wanazokumbana nazo wananchi katika ofisi za TPA.
Piga simu 0689 122 515
Tuma ujumbe mfupi wa maneno (sms) 0689 122 516
Pia ametoa namba yake kuwa ni 0787 570 714 na ya Naibu wake kuwa ni 0784 228 095

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply