SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / UKIKUTANA NAYE HIVI; LAZIMA UMUITE "MAALIM" AU "SHEIKH" SAMATTA


Picha ya mshambuliaji wa TP Mazembe, Mbwana Samatta imewavutia wengi kwa kuwa ametupia hasa vazi la Kiafrika.

Samatta anaonekana akiwa pia amevaa kofia maarufu kama kibaragashia. Basi mwonekano wake si ule akiwa uwanjani anaichezea TP Mazembe au Taifa Stars. Ukikutana hivyo, lazima utangulize neno “Maalim” au “Sheikh”.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply