SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / AC MILAN YAMPANDISHA KIZIMBANI MCHEZAJI KUTOKA GAMBIA KWA KUDANGANYA UMRI

YAFFA

Klabu ya AC Milan imeamua kumpandisha kizimbani mchezaji Yusupha Yaffa raia wa Gambia katokana na kudanganya umri.

Yaffa aliiambia AC Milan kwamba umri wake ni miaka  19, lakini baadaye iligundulika wakati huo alikuwa na umri wa miaka 28.

Licha ya kuwa sasa yuko nchini Ujerumani akikipiga katika klabu ya MSC Duisburg lakini bado AC Milan imeshikilia bango kuhusiana na ishu hiyo ya kupunguza umri kwa miaka tisa.


Pamoja na kwamba mwanasheria wa Yaffa, amekuwa akipambana na kukanusha hilo, marafiki wengi wa Yaffa kutoka Afrika hasa nchini make wamekuwa wakiendelea kupalia makaa ya moto kutokana na kueleza kupitia mitandao ya kijamii miaka waliyosoma naye, kucheza naye soka na wanajua kwamba ni mkubwa miaka tisa kuliko alivyojieleza.

Suala la wachezaji wa Kiafrika kudanganya umri limekuwa kubwa sana. Safari hii hata wale wanaokuja kucheza soka Tanzania pia wamekuwa wakidanganya umri pia.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply