SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / CHAN 2016-RWANDA: NIGERIA NJE, TUNISIA, GUINEA ZATINGA ROBO FAINALI.


CHAN2016NIGERIA Leo wametupwa nje ya Fainali za 2016 African Nations Championship (Chan 2016), ambazo ni  Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wachezao ndani ya Afrika, ambazo zinachezwa huko Rwanda, baada ya kuchapwa 1-0 na Guniea ambao wametinga Robo Fainali pamoja na Tunisia waliowatandika Niger 5-0.

Kuelekea Mechi hizi za mwisho za Kundi C, Nigeria walikuwa na nafasi nzuri kusonga baada ya kushinda Mechi 1 na Sare 1 lakini kipigo chao Leo mikononi mwa Guinea, waliofunga Bao lao la ushindi kupitia Ibrahima Sory Sankhon katika Dakika ya 45, kimewatupa nje.

Nao Tunisia wamewatwanga Mtu 10 Niger Bao 5-0 na nao pia kutinga Robo Fainali.

Niger walibaki Mtu 10 baada ya Youssouf Oumarou Alio kutolewa nje kwa Kadi Nyekundu baada ya Kadi za Njano 2 huku Bao za Tunisia zikipachikwa na Saad Bguir, Bao 2, Ahmed Akaichi, Mohamed Amine Ben Amor na Hichem Essifi.
Jumatano Kundi D litamaliza Mechi zake na Zambia, Mali na Uganda wana nafasi ya kutwaa nafasi 2 za kusonga Robo Fainali.

CHAN 2016
MSIMAMO:
KUNDI A
NA TIMU P W D L F A GD PTS
1 Ivory Coast 3 2 0 1 5 2 3 6
2 Rwanda 3 2 0 1 4 5 -1 6
3 Morocco 3 1 1 1 4 2 2 4
4 Gabon 3 0 1 2 2 6 -4 1
KUNDI B
NA TIMU P W D L F A GD PTS
1 Cameroun 3 2 1 0 4 1 3 7
2 Congo DR 3 2 0 1 8 5 3 6
3 Angola 3 1 0 2 4 6 -2 3
4 Ethiopia 3 0 1 2 1 5 -4 1
KUNDI C
NA TIMU P W D L F A GD PTS
1 Tunisia 3 1 2 0 8 3 5 5
2 Guinea 3 1 2 0 5 4 1 5
3 Nigeria 3 1 1 1 5 3 2 4
4 Niger 3 0 1 2 3 11 -8 1
KUNDI D
NA TIMU P W D L F A GD PTS
1 Zambia 2 2 0 0 2 0 1 6
2 Mali 2 1 1 0 3 2 1 4
3 Uganda 2 0 1 1 2 3 -1 1
4 Zimbabwe 2 0 0 2 0 2 -2 0
RATIBA/MATOKEO:
Makundi
**Saa za Bongo
Jumamosi Januari 16
Rwanda 1 Ivory Coast 0   
Gabon 0 Morocco 0
Jumapili Januari 17
DR Congo 3 Ethiopia 0
Angola 0 Cameroon 1      
Jumatatu Januari 18
Tunisia 2 Guinea 2 
Nigeria 4 Niger 1    
Jumanne Januari 19
Zimbabwe 0 Zambia 1      
Mali 2 Uganda 2     
Jumatano Januari 20
Rwanda 2 Gabon 1 
Morocco 0 Ivory Coast 1   
Alhamisi Januari 21
DR Congo 4 Angola 2       
Cameroon v  Ethiopia       
Ijumaa Januari 22
Tunisia 1 Nigeria 1
Niger 2 Guinea 2    
Jumamosi Januari 23
Zimbabwe 0 Mali 1 
Uganda 0 Zambia 1
Jumapili Januari 24
Morocco 4 Rwanda 1        
Ivory Coast 4 Gabon 1
Jumatatu Januari 25
Ethiopia 1 Angola 2
Cameroon 3  DR Congo 1
Jumanne Januari 26
Guinea 1 Nigeria 0   
Niger 0 Tunisia 5
Jumatano Januari 27
Zambia v Mali Stade Régional de Nyamirambo  16:00
Uganda v Zimbabwe Amahoro, Kigali 16:00
ROBO FAINALI
Jumamosi Januari 30
Rwanda v Congo DR
Cameroun v Ivory Coast
Jumapili Januari 31
Mshindi Kundi D v Guinea
Tunisia v Mshindi wa 2 Kundi D
NUSU FAINALI
Jumatano Februari 3
Rwanda/Congo DR v Mshindi Kundi D/Guinea
Alhamisi Februari 4
Tunisia/Mshindi wa 2 Kundi D v Cameroun/Ivory Coast
Jumapili Februari 7
Mshindi wa 3
FAINALI

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply