• Manchester City (4-2-3-1): Hart 7, Maffeo 6.5, Stones 7 (Adarabioyo 60, 6)...

  • SALVATORY EDWARD Kiungo wa zamani wa timu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kide...

  • Baada ya kikosi cha Mwadui FC kuchapwa kwa bao 1-0 katika mechi yao ya Lig...

  • Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeweka bayana kuwa, lipo kwenye mpango wa ...

SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / Hivi Ndivyo Zitto Kabwe Alivyosimamisha Bunge Baada ya Kutoa Hoja ya Kupinga Kutokuonyesha Vipindi vya Bunge.

Zitto Kabwe
ZITTO KABWE ALISIMAMISHA BUNGE.Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini Zitto Kabwe amelisimamisha Bunge kuanzia Saa tano asubuhi mpaka saa kumi jioni.Baada ya kutoa Hoja ya kumpinga uamuzi wa serikali wa TBC 1 kutokuonyesha vipandi vya Bunge.Hoja ambayo ilitolewa na Waziri Nape Nnauye;ndipo Zitto Kabwe akasimama na kuitaka Serikali iondoe hoja Hiyo Kwani TBC 1 ni shirika la Umma ambalo linaendeshwa kwa kodi za Wananchi.Zitto Kabwe ameungwa mkono na 70% ya Wabunge wote.Hivyo Serikali inatakiwa ije majibu.

«
Next
CHAN 2016-RWANDA: SAFU ROBO FAINALI YAKAMILIKA, ZAMBIA, MALI ZATINGA.
»
Previous
CHAN 2016-RWANDA: NIGERIA NJE, TUNISIA, GUINEA ZATINGA ROBO FAINALI.

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply