SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / CHAN 2016-RWANDA: SAFU ROBO FAINALI YAKAMILIKA, ZAMBIA, MALI ZATINGA.


CHAN2016SAFU ya Fainali za 2016 African Nations Championship (Chan 2016), ambazo ni  Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wachezao ndani ya Afrika, ambazo zinachezwa huko Rwanda, Leo zimekamilika baada ya Zambia na Mali kufuzu kutoka Kundi D.

Mechi zote za Kundi D Leo zilikwisha kwa Sare kwa Zambia kutoka 0-0 na Mali na Uganda kutoka 1-1 na Zimbabwe.
Katika Mechi ya Zimbabwe na Uganda, Wiliiam Manondo aliipa Zimbabwe Bao Dakika ya 49 na Geofrey Sserunkuma kuisawazishia Uganda katika Dakika ya 90.

Robo Fainali zitachezwa Jumamosi na Jumapili.
CHAN 2016
MSIMAMO:
KUNDI A
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Ivory Coast
3
2
0
1
5
2
3
6
2
Rwanda
3
2
0
1
4
5
-1
6
3
Morocco
3
1
1
1
4
2
2
4
4
Gabon
3
0
1
2
2
6
-4
1
KUNDI B
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Cameroun
3
2
1
0
4
1
3
7
2
Congo DR
3
2
0
1
8
5
3
6
3
Angola
3
1
0
2
4
6
-2
3
4
Ethiopia
3
0
1
2
1
5
-4
1
KUNDI C
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Tunisia
3
1
2
0
8
3
5
5
2
Guinea
3
1
2
0
5
4
1
5
3
Nigeria
3
1
1
1
5
3
2
4
4
Niger
3
0
1
2
3
11
-8
1
KUNDI D
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Zambia
3
2
1
0
2
0
1
7
2
Mali
3
1
2
0
3
2
1
5
3
Uganda
3
0
2
1
3
4
-1
2
4
Zimbabwe
3
0
1
2
1
3
-2
1
RATIBA/MATOKEO:
Makundi
**Saa za Bongo
Jumamosi Januari 16
Rwanda 1 Ivory Coast 0   
Gabon 0 Morocco 0
Jumapili Januari 17
DR Congo 3 Ethiopia 0
Angola 0 Cameroon 1      
Jumatatu Januari 18
Tunisia 2 Guinea 2 
Nigeria 4 Niger 1    
Jumanne Januari 19
Zimbabwe 0 Zambia 1      
Mali 2 Uganda 2     
Jumatano Januari 20
Rwanda 2 Gabon 1 
Morocco 0 Ivory Coast 1   
Alhamisi Januari 21
DR Congo 4 Angola 2       
Cameroon v  Ethiopia       
Ijumaa Januari 22
Tunisia 1 Nigeria 1
Niger 2 Guinea 2    
Jumamosi Januari 23
Zimbabwe 0 Mali 1 
Uganda 0 Zambia 1
Jumapili Januari 24
Morocco 4 Rwanda 1        
Ivory Coast 4 Gabon 1
Jumatatu Januari 25
Ethiopia 1 Angola 2
Cameroon 3  DR Congo 1
Jumanne Januari 26
Guinea 1 Nigeria 0
Niger 0 Tunisia 5    
Jumatano Januari 27
Zambia 0 Mali 0     
Uganda 1 Zimbabwe 1
ROBO FAINALI
Jumamosi Januari 30
Rwanda v Congo DR
Cameroun v Ivory Coast
Jumapili Januari 31
Zambia v Guinea
Tunisia v Mali
NUSU FAINALI
Jumatano Februari 3
Rwanda/Congo DR v Zambia/Guinea
Alhamisi Februari 4
Tunisia/Mali v Cameroun/Ivory Coast
Jumapili Februari 7
Mshindi wa 3
FAINALI

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply