SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / DK SABRI AJITOKEZA, ATAKA KUMPA SAMATTA DAWA YA NDOTO MBAYA ZA WAALGERIA

DK SABRI

Unaikumbuka ile stori ya leo mchana ambayo mshambuliaji nyota wa TP Mazembe, Mbwana Samatta alisema amekuwa akiota ndoto mbaya za Waalgeria wakimtokea.

Anakumbuka ile siku ambayo Stars ilifungwa mabao 7-0 huko Algeria ikiwa inawania kuingia katika makundi ya kupambana kucheza Kombe la Dunia.

Dk Sabri ambaye amekuwa akifanya kazi zake mjini Mtwara na sasa Dar es Salaam, amejitokeza na kusema anaweza kulimaliza tatizo hilo la Samatta.
SAMATTA (KUSHOTO) AKIWA NA THOMAS ULIMWENGU.
“Mwambieni Samatta ninaweza kulimaliza tatizo lake, mwambieni anitafute na mara moja halitamtokea tena,” alisema Dk Sabri.


Dk Sabri ambaye pia shabiki mkubwa wa Taifa Stars amesema anajua kinachimkabili Samatta na anaweza kusaidia kwa haraka sana. Kazi kwako Samatta.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply