SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / YAYA TOURE APIGA BONGE LA BAO, AGUERO AIMALIZA WATFORD JIOOOOOOONIIIII



Man City imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Watford ikiwa ugenini. Lakini ililazimika kusubiri hadi dakika ya 82 kwa bao safi la shuti la la Yaya Toure aliyeunganisha krosi.

Dakika ya 85, Kun Aguero naye alifunga bao la pili kwa kichwa huku mabeki wa Watford wakiwa wametegeana. Kabla Watford walikuwa wamepata bao la katika dakika ya 55 baada ya Kolarov wa Man City kujifunga.

WATFORD XI: Gomes, Nyom, Cathcart, Britos, Holebas, Capoue, Watson, Abdi, Jurado, Deeney, Ighalo
SUBS: Arlauskis, Prodl, Behrami, Oulare, Guedioura Berghuis, Anya
MANCHESTER CITY XI: Hart, Kolarov, Otamendi, Mangala, Sagna, Yaya Toure, Fernandinho, De Bruyne, Silva, Aguero, Sterling
SUBS: Caballero, Zabaleta, Fernando, Bony, Navas, Clichy, Demichelis













«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply