SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / Dr.John Pombe Magufuli Amekutana na Benjamini William Mkapa Pamoja na Joseph Sinde Warioba

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr.John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na rais mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini William Mkapa.

Pia amefanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia ni Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba ambaye amewataka Watanzania kumuunga mkono Rais Magufuli katika utendaji wake ili kuwa na Tanzania yenye mabadliko

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply