• Manchester City (4-2-3-1): Hart 7, Maffeo 6.5, Stones 7 (Adarabioyo 60, 6)...

  • SALVATORY EDWARD Kiungo wa zamani wa timu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kide...

  • Baada ya kikosi cha Mwadui FC kuchapwa kwa bao 1-0 katika mechi yao ya Lig...

  • Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeweka bayana kuwa, lipo kwenye mpango wa ...

SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / KIIZA AWATULIZA SIMBA, AWAAMBIA UBINGWA UPO MIKONONI MWA MSIMBAZI


KIIZA AKISHANGILIA NA AJIBU...

Hamisi Kiiza ameshaifungia Simba mabao 12 msimu huu lakini ameweka wazi kuwa hivi sasa shauku yake ni kuhakikisha timu yake hiyo inatwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu.

Kiiza alisema katika mzunguko huu wa pili uliobakia, wanahitaji kujituma kwa nguvu zote ili kuweza kuisaidia timu hiyo kumaliza ligi katika nafasi nzuri na hata ikiwezekana kutwaa ubingwa.

“Mechi 14 zilizobakia kwenye ligi ni nyingi, hivyo tunahitaji kujituma ipasavyo kuweza kufanikiwa kushinda katika kila mechi, kuhakikisha tunafanikiwa kutwaa ubingwa kwani lengo langu ni kuona tunafikia malengo.


“Nipo Simba kwa ajili ya kuisaidia na sihitaji maneno mengi zaidi ya kujituma uwanjani na nitakuwa na furaha nikiona inafanikiwa kutwaa kombe,” alisema Kiiza.

«
Next
KAMA KAWA, MASAU BWIRE NA RUVU SHOOTING WAREJEA LIGI KUU BARA
»
Previous
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatatu Ya Februari 1, Ikiwemo ya IPTL kuikamua Serikali Mil 300 Kila Siku

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply