SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / LIGI KUU VODACOM: AZAM YAKAA KILELENI PENGINE MPAKA ALHAMISI, SIMBA KIDEDEA.

LIGI KUU VODACOM
Matokeo:
Jumatano Januari 20
Ndanda FC  4 Mbeya City 1 
JKT Ruvu 0 Simba 2 
Stand United 2 Toto Africans 1 
Mgambo JKT 1 Azam FC 2
Tanzania Prisons 2 Coastal Union 1

VPL-SIT-LOGOAZAM FC Leo huko Mkwakwani Mjini Tanga wameichapa Mgambo JKT Bao 2-1 na kutwaa uongozi wa Ligi Kuu Vodacom, VPL, pengine hadi Kesho Jioni ikiwa Yanga wataifunga Majimaji FC na kurudi tena kwenye Kiti chao.





VPL-JAN20
Ushindi huo wa Azam FC umewafanya wawe na Pointi 39 kwa Mechi 15 wakifuatiwa na Yanga wenye Pointi 36 kwa Mechi 14.
Hii Leo, Azam FC walitanguliwa kwa Bao la Dakika ya 16 la Shaibu lakini Bao 2 za Beki wao, Shomari Kapombe, za Dakika 22 na 36 ziliwapa ushindi wa Bao 2-1.

Kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam, Simba, wameandika ushindi wao wa pili mfululizo chini ya Kocha wao mpya Jackson Mayanja walipoichapa JKT Ruvu 2-0 kwa Penati ya Hamisi Kiiza na Goli la Lyanga huku Goli zote zikifungwa Kipindi cha Pili.

LIGI KUU VODACOM
Ratiba:
Alhamisi Januari 21
Mwadui FC v Kagera Sugar  
African Sports v Mtibwa Sugar
Yanga v Majimaji 

Jumamosi Januari 22
Coastal Union v Yanga
Simba v African Sports
JKT Ruvu v Majimaji
Tanzania Prisons v Azam FC  
Mtibwa Sugar v Stand United
Mwadui FC v Toto Africans

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply